Barcelona; kocha wa barcelona hajui hatima yake
Posted by Unknown on 11:49 with No comments

Mkufunzi wa Barcelona Luis Enrique amekataa kujadili hatma yake ama kuthibitisha iwapo ataendelea kuifunza Barcelona licha ya kuipatia timu hiyo mataji matatu.Enrique,katika msimu wake wa kwanza kama kocha katika kilabu ya Barcelona baada ya kumrithi
Gerardo Martino aliongeza kombe la vilabu bingwa baada ya kupata lile la Copa Del Rey pamoja na La liga kwa kuicharaza timu ya Juventus katika fainali iliochezwa katika uwanja wa Olimpiki mjini Berlin.
Categories: SPORTS
0 comments:
Post a Comment