Bongo mpya inakuletea habari moto moto za kitaifa |kimataifa |michezo |burudani

Showing posts with label COMEDY. Show all posts
Showing posts with label COMEDY. Show all posts

Sunday, 3 January 2016

Jamaa awakutanisha EX wake wote kwenye whatsapp group


Umewahi kujiuliza inaweza kuwaje pale unapowakutanisha wapenzi wako wote wa zamani pamoja? Raha zaidi wakiwa wengi?
GettyImages-141476527
Ni mtihani kwa wanaume wengi lakini si kwa jamaa huyu aliyeamua kuwaunganisha ex wake na kuwatakia sikukuu njema ya Christmas ama kama yeye alivyoiita ‘ex-mas.’ Kijana huyo jasiri aitwaye Tom, alikuwa amekula bia mbili tatu na kupata ujasiri wa kuanzisha kundi la WhatsApp na kuwaunganisha maex wake wanne.
Hata hivyo wasichana hao Gemma, Bella, Steph na Lisa hawakupendezwa na mwaliko huu.
Chat hii inaonesha wazi:
PAY-merry-exmas-1
PAY-merry-exmas-2
PAY-merry-exmas-3
PAY-merry-exmas-4
PAY-merry-exmas-5
PAY-merry-exmas-6


Wednesday, 30 September 2015

Mchango wa vibonzo katika uchaguzi mkuu.



Image captionJe vibonzo vinamchango upi katika uchaguzi Tanzania ?
Vibonzo vimekuwa chachu kubwa sana katika upashaji habari wakati wa msimu huu wa uchaguzi nchini Tanzania.
Image captionMchoraji Daniel Mzena anasema anafurahia kazi yake
Mchoraji Daniel Mzena anasema anafurahia kazi yake kwasababu anaweza kufikisha ujumbe wa mambo makubwa na mengine yanayoweza kuwaudhi wahusika kwa namna ya ucheshi.
Image captionMchoraji Said Michael
Mwandaaji wa maonyesho hayo Gadi Ramadhani anasema
Image captionJe wapiga kura wameshawishika ?
"Niliamua kuandaa maonyesho haya kutokana na kuwa na kazi kubwa na ya muhimu ya vibonzo, hasa wakati huu wa uchaguzi''
Image captionMchango wa vibonzo, hasa wakati huu wa uchaguzi
''Vibonzo vimeweza kuwasilisha jumbe kubwa na nyeti lakini kwa namna rahisi ambayo karibu mwananchi wa kada yoyote ile anaweza kuelewa"

Wednesday, 23 September 2015

Lowassa akiingia ikulu.

Thursday, 20 August 2015

Kansiime steals business.

ANGUKO KUBWA LA DIAMOND KIMUZIKI, ALI KIBA AFAIDIKA


Hii imetokea baada ya Diamond kuonyesha hisia zake kwa cha chama flani cha siasa ambacho ni CCM, hili ni ambalo limeonesha kuwakera mashabiki wake wengi na hivyo kuleta mpasuko mkubwa sana ndani ya mashabiki wake, wengine wameahidi kutompigia kura tena, huku wengine wakisema wamehamia TEAM KIBA, soma comments chini.
























Monday, 17 August 2015

kansiime Anne.. the guilty run before they are chased

simba fc yazidi kugawa dozii

Wednesday, 12 August 2015

uchaguzi 2015!

Saturday, 8 August 2015

lipumba aachwa na CUF


 asema hatoondoka CUF mpaka mwaka 2020, na CUF yatoa kauli kwamba iko imara na haitoyumba katika ubora wake.

Wednesday, 5 August 2015

sasa ni lowassa na magufuli urais

Tuesday, 4 August 2015

kura za maoni kitimtim

Monday, 3 August 2015

kura za maoni waachwa wengi!!!

Thursday, 30 July 2015

mbio za urais ni utata mtupuu