MKE(LAURA) WA HUKO KENYA AMNUNULIA MUME WAKE VX V8 KAMA ZAWADI YA KUWA MUME MWEMA
Posted by Unknown on 16:59 with No comments



Laura Akunga-Muriithi, mfanya biashara anaye ishi nairobi pamoja na mume wake, ameamua kumnunulia mume wake gari aina ya Toyota land cruiser VX V8 yenye thamani ya kitanzania takribani milioni 220, amempa zawadi hiyo kwenye siku ya kuzaliwa ya mume wake, hiyo ni kutokana na juhudi zilizo oneshwa na mume huyo katika kuwa mume bora na kutimiza wajibu wake kama mume.

hivi ndivyo alivyosema kwenye ukurasa wake wa Facebook:
“To The Most Amazing 30 Year Old I Know, My Husband, My Best Friend, My Ride Or Die, Number One In My Life. Here’s To Another Happy 30 Plus Years Full of Fond Memories With Our Families And Friends. Here’s To Wives Spoiling Their Husbands Because They Deserve The Very Best And They Are Truly The Better Side Of Us. At Least For Me, He Brings Out The BEST In Me. He Is Literally My Better Half. Happy 30th Birthday Babe.”
Categories: NEWS
0 comments:
Post a Comment