WEMA SEPETU KUGOMBEA UBUNGE SINGIDA

Posted by Unknown on 18:52 with No comments

Wema Sepetu akina  na mama yake
Wema Sepetu akiwa na mama yake
Wema sepetu ataka kuwania ubunge wa viti maalumu singida.
Mashabiki wake aka Team Wema wameandika ujumbe:
Nina wazo kwenu nyote. Kwa upendo tuliekuwa nao kwa madame. Naomba tumsuport kwa hali na mali. Kila anae jua anampenda Wema tumchangie ili kampeni yake iende vizuri. Anategemea kuchukua form ya kugombea ubunge viti maalum mkoani Singida tarehe 15/7/2015. Mko tayari tumsuport madame wetu? Naomba mnipe jibu. wazo langu.
Naye meneja wake, Martin Kadinda alipost Instagram picha ya Wema akiwa na nguo za CCM na kuandika: Mbele Kwa Mbele…. #JanaIlikuwaNdotoLeoNimaamuzi #BeTheVoice #inawezekana #2015walktoremmember
Categories: