DI MARIA AONDOKA MANCHESTER UNITED

Posted by Unknown on 09:27 with No comments


Winga wa Manchester United amekubali kujiunga na
PSG kwa £60m, hii ni baada ya kuwa na msimu mbaya kwenye ligi kuu ya Uingereza.

 Raisi wa PSg Nasser Al-Khelaifi amesema kuwa Di Maria ndiyo shabaha ya kwanza ya klabu hiyo ya Ligue 1.
Categories: