LIVERPOOL YA MNYEMELEA MARCO REUS.
Posted by Unknown on 08:57 with No comments

Marco Reus,
klabu ya Liverpool ya inafanya mpango wa kumsajili Marco Reus ili aweze kuziba pengo la Raheem Sterling
.
Reus amepunguza matamanio yake ya kuichezea mabingwa wa hispania Barcelona, baada ya kuona kuna ushindani mkubwa sana wa kucheza.
Categories: SPORTS
0 comments:
Post a Comment