MGOMBEA MWENZA WA MAGUFULI HUYU AMEPATIKANA
Posted by Unknown on 15:58 with No comments
CCM kupitia kwa Halmashauri kuu ya CCM imemchagua DK. John Magufuli kuwania nafasi hiyo.
Baada ya ushindi huo, Magufuli alitoa shukrani zake kwa wote waliofanikisha ushindi wake na kisha akamteua aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Katiba lililomalizika hivi karibuni Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea mwenza.
Categories: NEWS
.jpg)
0 comments:
Post a Comment