MTOTO SHABIKI WA MAN U AMLILIA ROBIN VAN PERSIE, RAISI WA FENERBAHCE AMUALIKA

Posted by Unknown on 16:31 with No comments

Mtoto mwenye umri mdogo shabiki wa Manchester united
amekutwa na mama yake chumbani kwake akimlilia Robin Van Persie bila kunyamaza, kwamba ameuzwa kutoka klabu yake ya Man U.

Raisi wa klabu ya Fenerbahce alipoiona hiyo video amesema aliumia sana moyoni, hivyo amemkaribisha huyo mtoto kwenye klabu hiyo ili amuone RVP akiichezea klabu hiyo.

Huku watu wakumpongeza mama wa mtoto huyo kwa kuweza kufahamu na kutunza rekodi machungu na mapenzi ya mtoto wake.

Categories: