RAHEEM STERLING AGOMA KUONDOKA NA LIVERPOOL

Posted by Unknown on 10:33 with No comments


Raheem Sterling agoma kwenda ziara na klabu yake ya Liverpool ambayo itaanza jumapili itakayo anzia nchi ya Thailand.

 Sterling mwenye umri wa miaka 20 ameamua kufanya hivyo ili kuishinikiza Liverpool wakubuliane na Manchester city ili aweze kuhamia kwa vigogo hao wa Manchester, huku Liverpool ikikomaa kwamba Sterling hatoenda Manchester city mpaka watoe euro 50m.

Categories: