Raisi Obama kupikiwa chakula cha asili na bibi yake wa Kenya

Posted by Unknown on 08:52 with No comments
Obama's grandma-2

Bibi wa raisi Obama amepanga kumpikia mjukuu wake vyakula vya kiasili pale atakapo tempelea Kenya hapo badae mwezi huu, nchi ambayo alizaliwa baba yake mzazi alisema, "Sito jari kama Obama ni seneta au raisi ila atakula vyakula nitakavyo muandalia"  Bibi huyo alisema maneno hayo kwa lugha ya luo.
Obama's grandma-3
 Bibi huyo ambaye jina lake ni Sarah ni mke watatu wa babu yake Obama, Hussein Onyango Obama, aliongezea kusema  kati ya vitu atakavyo muandalia ni uji wa mahindi, samaki na kuku.
  Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Obama kutembelea Kenya tangu awe Raisi.
Categories: