ANGUKO KUBWA LA DIAMOND KIMUZIKI, ALI KIBA AFAIDIKA

Posted by Unknown on 08:35 with No comments

Hii imetokea baada ya Diamond kuonyesha hisia zake kwa cha chama flani cha siasa ambacho ni CCM, hili ni ambalo limeonesha kuwakera mashabiki wake wengi na hivyo kuleta mpasuko mkubwa sana ndani ya mashabiki wake, wengine wameahidi kutompigia kura tena, huku wengine wakisema wamehamia TEAM KIBA, soma comments chini.