Mh Job Ndungai ndie spika wa bunge la Tanzania

Posted by Unknown on 15:08 with No comments
Mh.Job Ndugai akila kiapo baada ya kuchaguliwa kwa kura 254 kuwa Spika wa Tanzania katika Bunge la 11 akifuatiwa na Goodluck Ole Medeye kutoka CHADEMA kura 109 huku wengine wakiwa hawajapata kura zoezi lililofanyika mjini Dodoma.


Categories: