WAZIRI MKUU MPYA.

Posted by Unknown on 10:01 with No comments

Aliekua Naibu Waziri wa elimu TAMISEMI kwenye serikali ya JK, ndugu Kassim Majaliwa mbunge wa Ruangwa Lindi. ndiye aliechaguliwa kua waziri mkuu wa Tanzania kwenye serikali ya Dk. John Pombe Magufuli (2015-2020).
Categories: