Tanesco wataja kiasi wanachomdai Wema Sepetu

Posted by Unknown on 18:07 with No comments


Tanesco wako shingoni kwa Wema Sepetu!
12357642_109000819472059_1048138282_n
Hivi karibuni walifanya ziara ya kushtukiza kwenye nyumba yake na kubaini kuwa muigizaji huyo anatumia umeme wao bure!
12357642_109000819472059_1048138282_n
Jana Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco, Eng. Felichesmi Mramba alizungumza na waandishi wa habari na kutaja kiasi cha fedha kitakachopatikana kutokana na faini waliyowapiga wezi mbalimbali wa umeme.
20151219011221
20151219011221
Imebainika kuwa Wema Sepetu anadaiwa shilingi 8,200,496.20.


Categories: