Jamaa awakutanisha EX wake wote kwenye whatsapp group
Posted by Unknown on 09:17 with No comments
Umewahi kujiuliza inaweza kuwaje pale unapowakutanisha wapenzi wako wote wa zamani pamoja? Raha zaidi wakiwa wengi?

Ni mtihani kwa wanaume wengi lakini si kwa jamaa huyu aliyeamua kuwaunganisha ex wake na kuwatakia sikukuu njema ya Christmas ama kama yeye alivyoiita ‘ex-mas.’ Kijana huyo jasiri aitwaye Tom, alikuwa amekula bia mbili tatu na kupata ujasiri wa kuanzisha kundi la WhatsApp na kuwaunganisha maex wake wanne.
Hata hivyo wasichana hao Gemma, Bella, Steph na Lisa hawakupendezwa na mwaliko huu.
Chat hii inaonesha wazi:






0 comments:
Post a Comment