Idadi ya waliokufa China yaongezeka

Posted by Unknown on 17:42 with No comments


Idadi ya waliokufa China yaongezeka
Idadi ya watu waliouawa kwenye milipuko mikubwa katika bandari ya Tinjian nchini China siku ya Jumatano imeongezeka hadi watu 85.
Zaidi ya watu 700 walijeruhiwa kwenye milipuko hiyo iliyotokea kwenye ghala moja la kuhifadhi kemikali.
Siku ya Ijumaa utawala nchini China uliamrisha kufanyika ukaguzi wa nchi nzima katika maeneo yanayotumiwa kuhifadhi kemikali na milipuko.
Categories: