Serena Willam amshinda dada yake
Posted by Unknown on 08:30 with No comments
Serena williams amemshinda dada yake Venus william katika mashindano ya US Open na kuzidi kusonga mbele katika ushindi mara mbili wa kalenda ya kwanza ya Grand Slam.
Serena ambaye ni nambari moja duniani amshinda dada yake kwa seti tatu ya 6-2 1-6 6-3 zilizompa upenyo wa kuweza kuingia kwenye mashindano ya nusu fainali huko New York,Marekani.
Categories: SPORTS
0 comments:
Post a Comment