PICHA ZA AJALI YA NJOMBE #RIP

Posted by Unknown on 15:27 with No comments

Siku chache zimepita toka taarifa zitufikie kuhusu ajali ya basi la abiria lililotumbukia mtoni eneo la Iyovi ambalo lina kona kali sana mkoa wa Iringa, taarifa nyingine ya huzuni inatufikia kutoka mkoa wa Njombe leo January 04 2016.
Ni taarifa ya ajali ya basi la abiria ambalo limegonga lori la mizigo kwa nyuma na kusababisha vifo vya watu wawili pamoja na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa.20160103232509
Categories: