Ay azidi kuitikisa Youtube
Posted by Unknown on 13:36 with No comments
Ay aendelea kutikisa Youtube. Video yake ya Zigo Remix aliyo mshirikisha Diamond imefikisha Youtube Views 4 mil ndani ya siku 48 tu.
Zigo hit maker anazidi kufanya vizuri ijapokuwa video yake imekatazwa na TCRA kutochezwa mchana kitendo ambacho kimepingwa na wadau wengi wa muziki na sanaa kwa ujumla
AY ameandika kwenye akaunti yake ya intagram : 48 Days 4 Million Views + !!! Thank you soooooo much for the LOVE & SUPPORT π₯π₯π₯π₯π₯ππΏππΎ.”
Categories: celebrity
0 comments:
Post a Comment