KIM KARDASHIAN MJA MZITO

Posted by Unknown on 18:26 with No comments
Kim kardishian 34 na mumewe Kanye west wanatarajia kupata mtoto mwingine
Baada ya majaribio ya miezi kadhaa ya kushika ujauzito wa pili, Kim ameweka wazi kuwa ni mja mzito kupitia reality show ya Keeping Up With The Kardashians alipomueleza mdogo wake Khloe Kardashian juu ya majibu ya vipimo alivyofanya.
“I just got the blood test back and I am pregnant!” alisema Kim.
Kim na Kanye walipata mtoto wao wa kwanza wa kike North West June 15, 2013.
Categories: