KIONGOZI WA KUNDI KUBWA LA MADAWA YA KULEVYA ATOROKA JELA
Posted by Unknown on 12:42 with No comments

Aliyekuwa kiongozi wa moja ya makundi makubwa zaidi
ya yanayoendesha biashara za madawa ya kulevya nchini Mexico Joaquin El Chapo Guzman ametoroka kutoka gereza moja lenye ulinzi mkali .
Alitoroka kutoka gereza la Altiplano nje ya mji mkuu wa Mexico City
Maafisa wanasema kuwa shughuli za kumtafuta zinaendelea na safari za ndege kutoka uwanja ulio karibu zimesimamishwa. Hii Ndiyo mara ya pili Guzman anatoroka kutoka gerezani.
Categories: NEWS
0 comments:
Post a Comment