MSHINDI WA KWANZA KATI YA WAGOMBEA URAISI WA CCM AMEPATIKANA

Posted by Unknown on 10:42 with No comments
 Tanzania ilikuwa inasubiri
kwa hamu kujua Mgombea yupi anasimamishwa na CCM kwenye nafasi ya Urais 2015
Kura zimepigwa na Wajumbe wa Halmashauri Kuu CCM na matokeo yako hivi John Pombe Magufuli 87%, Balozi Amina Ali 10% na Asha-Rose Migiro 3%.

Categories: ,