Raia 150,000 wa BURUNDI waikimbia nchi yao
Posted by Unknown on 18:49 with No comments
Umoja wa mataifa umesema zaidi ya watu LAKI MOJA na nusu raia wa BURUNDI wamekimbilia nchi za jirani ikiwemo TANZANIA, wakihofia mapigano
Umoja wa mataifa umesema zaidi ya watu LAKI MOJA na nusu raia wa BURUNDI wamekimbilia nchi za jirani ikiwemo TANZANIA, wakihofia mapigano katika nchi yao, wakati nchi hiyo ikielekea kwenye uchaguzi mkuu.
Wakimbizi wengi wa BURUNDI wanahofia vurugu za kisiasa, wakati nchi hiyo ikiandaa kwa uchaguzi wiki ijayo.
Ghasia zilizuka nchini humo baada ya rais PIERRE NKURUNZIZA wa BURUNDI kutangaza nia yake ya kutaka kugombea urais kwa muhuma wa tatu.
Viongozi mbalimbali wa kisiasa wamekuwa wakihudhuria mazungumzo ya amani ya nchi yao, yanayosimamiwa na rais YOWERI MUSEVENI wa UGANDA.

Categories: NEWS

0 comments:
Post a Comment