Ofisa wa Idara ya Upelelezi wa Jeshi Atoroka

Posted by Unknown on 15:35 with No comments



Ofisa wa Idara ya Upelelezi wa Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro, Sajenti Andrew Nguyane, ametoroka na kukimbilia kusikojulikana baada ya kutajwa kudaiwa kuhusika katika kashfa ya kusaidia utoroshaji wa madini ghafi ya Tanzanite, yenye thamani zaidi ya Sh. bilioni 2.5 kwenda ughaibuni kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (Kia).
source EATV
Categories: