MWANZA YAGEUKA LOMWANSAA(video)
Posted by Unknown on 09:04 with No comments
Jiji la Mwanza limeweka historia mpya ya mapokezi ya Lowassa, baada ya umati mkubwa sana wa watu kuonyesha mapenzi makubwa sana kwa mgombea huyo wa uraisi wa UKAWA kupitia CHADEMA, mapokezi hayo yalifanya shughuli za jiji hilo kusimama kwa masaa mengi na barabara kupitika kwa shida sana
Categories: DID YOU KNOW?, NEWS
0 comments:
Post a Comment