Bongo mpya inakuletea habari moto moto za kitaifa |kimataifa |michezo |burudani

Showing posts with label DID YOU KNOW?. Show all posts
Showing posts with label DID YOU KNOW?. Show all posts

Friday, 22 July 2016

The Most Dangerous Roads in the World.

Tuesday, 15 March 2016

Diamond kumtambulisha msanii mpya leo wasafi

Baada ya label ya WCB kumsaini mkali wa hit single ya Bado ‘Harmonize’ na kuendelea kufanya vizuri kwenye soko la muziki wa Tanzania.
Sasa good news nyingine iliyotolewa na staa Diamond Platnumz  ambaye ni msimamizi wa label hiyo alisema kwamba leo March 15 watatangaza msanii mpya waliemsaini katika label yao.
Kupitia kwenye ukurasa wa twitter aliwataarifu mashabiki kwa kuandika..’Panapo Majaaliwa Jumatano Hii Wcb_Wasafi tutamtambulisha rasmi Kijana Mwingine Mpya…tafadhali wadau tunaomba sana Support zenu’>> Diamond

Hapa ninayo interview ya Harmonize ambaye ni msanii wa kwanza kusainiwa katika label ya WCB akizungumza jinsi alivyokutana na Diamond Platnumz

Wema afunguka kuhusu penzi lake na Pedeshee wa Kikongo



Tangu mwaka 2016 uanze miongoni mwa story zilizochukua headlines kwenye mitandao mbalimbali ni hii inayomuhusu mwigizaji staa wa Tanzania, Wema Sepetu kuwa ana mahusiano ya kimapenzi na Mcongo.
Sasa leo kupitia instagram amejibu tetesi hizo na kuandika..‘Sijawahi na sitowahi kuwa na mwanaume Mcongo wa aina yoyote ile… Sasa nashangaa watu wameona mimi ndo daraja la kuwapa umaarufu… Im Tired… Huyo apocalypse sijui kitu gani aint my man… I only know him as a friend.So please guys niacheni kidogo tafadhal… Alam-siq…!!!🙏🏽🙏🏽🙏🏽And ontop of all dat I think u all know me by now nikiwa na mtu sijivungi kumtangaza maana huwa I live to please my heart… Mwanaume wangu nadhani anajulikana’>> @wemasepetu
‘Sasa endeleeni kumpa huyo baba attention sababu yeye nako naona kashaona ni kamchezo kakupatia followers.Na nyie mnampa airtime ya kutosha anaendelea Ananiudhi na mimi kiukweli hadi napata hasira.But nakaa tu kimya… This is too much now’>>> wemasepetu

Saturday, 5 March 2016

Saa maalumu kwa ajili ya kuibia kwenye mitihani



saa
Image copyright
Image captionSaa hizo zinauzwa katika Amazon an eBay
Saa za kisasa ambazo zimetengenezwa mahususi kutumiwa kudanganya wakati wa mtihani zimekuwa zikiwakosesha usingizi walimu na wasimamizi wa mitihani.
Saa hizo zina uwezo wa kuweka akiba data na maelezo ambayo yanaweza kusomeka mtu anapofanya mtihani.
Aidha, zina kitufe cha dharura ambacho kinaweza kubadili uso wa saa hizo haraka sana na badala ya kuonesha habari ziwe zinaonesha uso wa kawaida wa saa.
Saa hizo zinatangazwa katika soko la kuuza bidhaa mtandaoni la Amazon.
Mojawapo ya aina ya saa hizo ina uwezo wa kuweka akiba data ya 4GB. Nyingine, ambayo itaanza kuuzwa baadaye mwaka huu, itakuwa na uwezo wa 8GB na inaweza kuhifadhi hata video.
Baadhi ya saa hizo, zina kifaa kidogo sana cha kusikizia ambacho hakitumii nyaya, jambo linalowezesha mtu kusikiliza kilichohifadhiwa kwenye saa hiyo bila kuonekana.
Tangazo moja katika mtandao wa Amazon linasema mtu anaweza kununua saa ya aina hiyo kwa $61 (£43).
Kuna pia matangazo ya saa hizo eBay.
Naibu mwalimu mkuu wa shule moja kutoka Bath, Uingereza anasema saa hizo zinaweza zikawashawishi wanafunzi kuhadaa katika mtihani.
Bw Joe Sidders wa shule ya Monkton Combe Senior School amesema ingawa saa hizo zinaweza kudhibitiwa kwa kutumia sheria zinazoharamisha simu na kompyuta kutoka vyumba vya mitihani, ni changamoto kubwa sana kwa watu wanaosimamia mitihani.
Amesema uuzaji wa saa hizo unafaa kudhibitiwa.
Kuna pia “kalamu za kuiba mtihani” ambazo zinaweza kuhifadhi habari na maelezo.
Ongezeko la matumizi ya saa kuiba yamefanya baadhi ya mashirika kupiga marufuku saa katika vyumba vya mitihani Uingereza.

Wednesday, 2 March 2016

Mtoto wa Raila Odinga(Rosemary) asulubiwa Instagram


Rosemary Odinga, mtoto wa mwanasiasa mkongwe wa Kenya, Raila Odinga anatamani Instagram isingekuwepo!
stdryhgdipgxax
Ni kwasababu tangu aombe radhi kupitia mtandao huo kwa kauli aliyoitoa kwenye mkutano wa viongozi vijana wa kimataifa, IYLA kwenye umoja wa mataifa kuwa Olduvai Gorge ipo Kenya, amekuwa akioga mvua ya matusi.
Kupitia Instagram, Ms Odinga aliandika:
I have just been reminded of an incident which occurred while attending IYLA in New York last year where I had a Freudian slip. Apparently our brothers and sisters from TZ are alarmed that I have grabbed their Olduvai Gorge. I meant to say our equally historic Olorgesaiile site in Kajiado. As I have learnt, what happens in New York doesn’t stay in New York. So, what would Magufuli do? Sorry Tanzanians, your Olduvai Gorge is safe. In the spirit of one East Africa let’s shake hands after all at the end of the day we are the cradle of humankind
Hadi sasa post hiyo ina comments zaidi ya 1,200 na nyingi ni matusi kutoka kwa watanzania wanaohisi kuwa bado anaendelea kusema uongo na kwamba hajaomba radhi kutoka moyoni.
Hizi ni baadhi ya comments:
Maggiemetta
Woman be respectful you’re addressing a country so drop that sarcastic tone and don’t sound so patronizing we’re not your cousins. First of all making a public statement on something you claim to have mixed up is stupid, does that mean you don’t really know your historical sites and you’re supposed to be a leader? Second “apologizing” to the world in your tiny insta page says how stupid and disrespectful you are. I feel for Kenyans having to put up with kids like you being leaders. Have manners, this is Africa.
Lentrojan
U said, u were changeled and that was your story. You knew exactly what u were talking madam. You think the only mistake was saying Olduvai gorge is in Kenya? If you mistakenly said Olduvai instead of that Olorgesasaiile then you wanted the world to believe the oldest fossil was found in Kenya n not Olduvai Gorge, that is also another thing you should apologize for. Weven have witnessed a lot of mistakes from you guys, like mount Kilimanjaro is TOTALLY in Kenya, you produce Tanzanites and even Diamondplantnumz is a Kenyan rapper. HOLLY CRAP!! We just couldnt let that pass
Erasto_kamugisha
You can’t cheat us, you did it deliberately. That is what you were sent to do. I feel sorry to your country having a young leader as you who is not honest and not sure of your own identity. I think you did a course in cheating, eti have been reminded of what I said during the conference in US, do you want to tel us that you did not watch that video after the conference and identify your own mistakes. Apologizing to us is not enough, what about the delegates who attended the conference. An educated fool
Mama_estefan
Apologize properly please and not this sarcastic verse you have written. You knew u were lying and yet you embellished that lie with so much emotions and stuff. You need to make a formal apology to Tanzanians for claiming their Historic site and you need to apologise to those people who were listening to you at that conference. What kind of a woman are you? Cradle of mankind really? And you claimed your teachers taught u in school do u wanna start a war???? Kenya is a beautiful country in its own right and theres so much to say about Kenya my question is “why did you feel the need to lie through your teeth like that?” We TANZANIANS are waiting for a proper apology
Swahilination
Dont mess up with Tanzania again, there is no correlation, semantic, Geographic or any other connection between Olduvai Gorge (Two Words) and Olorgesaiile….These words cannot and will never be used interchangeably. It wasnt an accident or a coincidence, this is a continuous acts of Kenyans to steal our identity, and own it to yourselves, Kilimanjaro and The Serengeti to mention just a few. It’s not the first time, but it should be the last time. You should also consider pulling Mt. Kilimanjaro adverts out of KQ

Saturday, 20 February 2016

The 10 Richest Women of All Time


Throughout history, men are typically thought of as titans of industry and the money makers. Basically, vast fortunes are often assumed to come from a man's work. In the olden days, the law prevented women from owning property—which didn't help the fairer gender's cause when it came to amassing wealth. The sad fact is that women with huge personal net worth are very much a modern phenomenon.
The following 10 women span eras and centuries. They are also not JUST heiresses, we've focused on women who either created their own wealth, or if they inherited it, they've taken an active role in managing and growing their fortune. Because of this, Wal-Mart heiresses Alice Walton and Christy Walton don't make the list, even though Alice Walton is the richest woman in America.
Comparing these women's wealth across different centuries is challenging, so this ranking is initially based on the comparison of an individual's net worth to total global economic output in their era. That's why you won't see Oprah Winfrey ($3.2 billion) or Theranos' Elizabeth Holmes ($4.5 billion) on this list. Those two women, while extraordinarily wealthy and self-made, don't have enough money relative to the current global GDP to make the list. Once the top 10 women were narrowed down, we ranked the modern ones according to current net worth, and the ones from ancient eras by perceived net worth adjusted for inflation.
  1. Yang Huiyan
Net Worth:$5.2 billion
Lived: 1981-present
Nation: China
Yang Huiyan is heir to her father's enormous Chinese real estate empire. However, she is also quite a businesswoman in her own right and she is a member of the governance board of Country Garden, a property development company. She was hit hard by the economic recession in 2007. She started off with a $16.2 billion fortune, but following the financial crisis, her net worth plummeted to $5.2 billion.   
  1. Charlene de Carvalho-Heineken
Net Worth:

$11.7 billion
Lived: 1954-present
Nation: Netherlands
Charlene De Carvalho-Heineken is the only child of Freddy Heineken, who served as CEO of the world's third largest beer company from 1971 to 1989. When Freddy Heineken died in 2002, Charlene inherited his $4.8 billion fortune and a 50% controlling interest in the family beer business. De Carvalho-Heineken was instrumental in choosing the company's current CEO, Jean-Francois van Boxmeer. Under his reign, Heineken has experienced rapid growth with the acquisition of more than $30 billion worth of breweries.
VOLKER HARTMANN/Getty Images
VOLKER HARTMANN/Getty Images 
  1. Susanne Klatten
Net Worth: $16.2 billion
Lived: 1962-present
Nation: Germany
Susanne Klatten is the richest woman in Germany. Susanne, her mother Johanna, and brother Stefan own nearly 50% of BMW.  But Susanne is not your ordinary heiress. She is an educated economist who also controls chemical manufacturer Altana and has worked since she got out of college. She worked for the advertising agency Young & Rubicam in Frankfurt for two years in the early 80s. She had a number of hands-on internships in her family's business empire. She gained further business experience in London with Dresdner Bank, the Munich branch of management consultants McKinsey, as well as the bank Reuschel & Co.  In many cases of her employment, whether in a family owned company or not, she worked under the assumed name Susanne Kant so as not to receive special treatment and be approached and treated on her own terms, not those dictated by her inherited wealth.We think that's pretty cool and down to earth.
  1. Anne Cox Chambers
Net Worth: $17 billion
Lived: 1919-present
Nation: United States
Anne Cox Chambers is the sole surviving daughter of James M. Cox, the founder of privately held media conglomerate Cox Enterprises, and his second wife Margaretta Parker Blair. Cox inherited her father's business interests and she is the majority owner of the media giant that generates around $16 billion in annual revenues. She worked in the family business in various capacities for decades. She held a seat on the board of the company that includes such subsidiaries as Cox Communications (broadband and cable), Cox Media Group (newspapers, TV and ration stations), Manheim (car auctions), and AutoTrader.com well into her 90s. In November 2015, the now-96-year-old businesswoman stepped down from the board, distributing her stake to her three heirs
  1. Liliane Bettencourt
Net Worth: $35 billion
Lived: 1922-present
Nation: France
Liliane Bettencourt
 is the sole heir to L'Oreal, the largest cosmetics company in the world, which was started by her father. In 1957, at the age of 35, Liliane inherited the L'Oreal empire when her father passed away. She held an active seat on the L'Oreal Board of Directors until 1995. She is also a large shareholder in Nestle. Now 91 years old, Liliane is no longer involved in running the company.                      
  1. Isabella of Castile
Net Worth:

1.45 million ducats, annually
Lived: 1451-1504
Nation: Spain
Queen Isabella I of Castile was, in her era, one of the richest monarchs in the world. Then she got even richer by marring her cousin Ferdinand of Aragon, which enabled her to consolidate her control over all of Spain by reclaiming the Iberian Peninsula and expanding into the New World. At the time of her death in 1504, she had an annual income of roughly 1.45 million ducats­–the gold coin that was Spain's currency. She possessed the most valuable jewels and tapestries in the world at the time. As for Isabella's net worth, 1000 ducats is pretty much equal to 110.7 ounces of gold. Gold is currently $1,230 per ounce. Queen Isabella I was making 1.45 million ducats a year…do the math.
  1. Cleopatra
Net Worth: $95.8 billion
Lived: 69-30 BC
Nation: Egypt
Of course Cleopatra, one of the most legendary female rulers, is on this list. Cleopatra is remembered as much for her wealth and great beauty as she is for her mad skills in manipulating people for her own political gain. As pharaoh of Egypt, Cleopatra controlled some of the nation's largest industries at the time. It should be noted that Cleo wasn't always solvent enough to afford her life of luxury. She was known to borrow heavily from foreign investors to finance the many wars she waged during her reign.
  1. Catherine the Great
Net Worth: $1.5 trillion (estimated)
Lived: 1729-1796
Nation: Russia
Catherine the Great's rule over Russia gave her control of roughly 5% of global GDP in her era. She was helped by the fact that Russia is historically one of the largest empires in terms of land. Catherine is Russia's longest reigning female. Catherine hoped for liberal reform when she took the throne but changed her mind after the uprising of 1773.
  1. Hatshepsut
Net Worth: Not Known
Lived: 1507-1458 BC
Nation: Egypt
Hatshepsut was Egypt's first female pharaoh. She worked hard to convince her subjects that her reign was the will of the gods. 
 Hatshepsut is the richest female head of state in Egypt's history. Hatshepsut 

rose to power after the death of her husband, who was also her half-brother. She controlled one of the ancient world's largest empires. She reigned for two decades and during that time had control over mines with vast stores of gold, copper, and precious stones.
  1. Empress Wu
Net Worth:
Not Known
Lived: 624-705 AD
Nation: China
The tale of Empress Wu is a juicy one. You don't get to be the richest woman of all time without a little intrigue and bloodshed. Empress Wu rose to power in the Tang Dynasty. In fact, she was the concubine of two emperors who happened to be father and son. When the son, Emperor Gaozong, became ruler, Wu was single minded and ruthless about eliminating her rivals for his affection. Reportedly, she killed her own week-old daughter and blamed the crime on one of Gaozong's main consorts, Empress Wang. Wang was then imprisoned and killed and Wu rose to power. During her 15-year reign, the empire of China expanded its lands deep into central Asia, making it one of the largest empires in the world.

Thursday, 11 February 2016

Muhimbili yavunja records ya mapato




Dar es Salaam. Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeongeza mapato yake kwa asilimia 60, baada ya kuboresha usimamizi na kupunguza kero za wafanyakazi, huku ikitekeleza kwa asilimia 100 maagizo matatu ya Rais John Magufuli.
Maagizo hayo yalitolewa na Dk Magufuli siku nne baada ya kuapishwa alipotembelea hospitali hiyo, Novemba 9 mwaka jana yametekelezwa kutokana na kuhudumia wagonjwa wengi zaidi na kwa wakati.
Akizungumza kuhusu mafanikio ya MNH katika siku 100 za Rais Magufuli madarakani, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Profesa Lawrence Museru alisema hospitali hiyo imeongeza uzalishaji wenye tija pamoja na kiwango cha ukusanyaji wa mapato.
Alisema kwa Desemba pekee, walikusanya Sh3.3 bilioni kutoka wastani wa Sh2.7 bilioni ilizokuwa ikikusanya kwa kipindi cha miezi mitano iliyotangulia.
“Tumepiga hatua, kwani Januari mwaka huu tumeweza kukusanya kiasi cha Sh4.3 bilioni. Katika mipango yetu ya muda mfupi iliyopo sasa tumepanga kukusanya Sh6 bilioni ifikapo Julai mwaka huu,” alisema.
Profesa Museru alisema watekeleza maagizo ya Rais Magufuli kuhusu mashine za MRI na CT Scan ambazo sasa zinafanya kazi vizuri, wagonjwa hawalali chini na upatikanaji wa dawa ni mzuri
Alisema matengenezo ya mashine ya MRI yalifanyika kikamilifu na tangu ilipotengamaa imepima zaidi ya wagonjwa 2,200.
Mkurugenzi huyo alisema wagonjwa waliokuwa wanalala chini wamehamishiwa katika wodi zingine na ile waliyokuwa wanatumia inafanyiwa matengenezo yanayotarajiwa kukamilika wiki mbili kuanzia sasa.
Mkurugenzi wa Fedha na Mipango wa MNH, Gerald Jeremiah alisema ukusanyaji wa mapato umeiwezesha hospitali hiyo kulipa madeni iliyokuwa ikidaiwa na wafanyakazi na wazabuni.
“Wafanyakazi walikuwa wanadai Sh600 milioni na wameshalipwa tangu mwanzoni mwa Februari mwaka huu, kulikuwa na madeni ya wazabuni na wengine wanaoleta vifaa mbalimbali kiasi cha Sh5.7 bilioni nazo zimelipwa,” alisema.
Alisema hospitali ilikuwa na deni la Tanesco linalofikia Sh4.6 bilioni ambalo Serikali ilisaidia kulilipa na kwamba, kwa sasa ina deni la mkopo wa Bima ya Afya la Sh3.4 bilioni.     

RAIS MAGUFULI tangu aapishwe kafanya nini?



Rais John Magufuli 
Rais John Magufuli  


Dar es Salaam. Hadi leo Rais John Magufuli amefanya nini?
Ni swali ambalo gazeti la Mwananchi litakuwa likilijibu kesho wakati kiongozi huyo wa Serikali ya Awamu ya Tano atakapokuwa akitimiza siku 100 tangu alipoapishwa Novemba 5, 2015 kwenye Uwanja wa Taifa.
Kuanzia kazi yake ya kwanza iliyokuwa ni kumteua Mwanasheria Mkuu wa Serikali hadi kazi atakayofanya leo, itakuwa kwenye toleo maalumu la siku 100 za Dk Magufuli ambaye ameanza kwa kishindo, akilenga zaidi kupambana na ufisadi, kudhibiti mapato na matumizi na kuelekeza fedha kwenye huduma za jamii.
Dk Magufuli aliapishwa Novemba 5, mwaka jana, akipokea wadhifa huo kutoka kwa Jakaya Kikwete ambaye kwa sasa amebaki na nafasi ya mwenyekiti wa CCM.
Moja ya mambo makubwa ambayo ameyafanya na kumtofautisha na watangulizi wake wanne ni kuwawajibisha watumishi wa umma kwa makosa mbalimbali, huku akiahidi neema katika elimu, ujenzi wa viwanda na kushughulikia mkwamo wa kisiasa visiwani Zanzibar. Katika moja ya makala za kesho, utasoma jinsi majeruhi wa kwanza wa hatua za Rais Magufuli za kuwajibisha watumishi wa taasisi za umma, Dk Hussein Kidanto, ambaye alikuwa kaimu mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), anavyokabiliana na uamuzi huo wa kumuweka pembeni.
Kwa kutumia wachambuzi mbalimbali wa nje na waandishi wetu, makala hizo zitaangalia jinsi Rais alivyofanya ziara mbalimbali kwenye taasisi za umma, maamuzi aliyotoa katika kudhibiti mapato, kusimamisha na kutimua watumishi wa umma kwa sababu mbalimbali na ziara zake ndani na nje ya jiji la Dar es Salaam.
Pia uchambuzi huo utaangalia mambo mbalimbali aliyofanya na kuibua mijadala mikubwa kama uvaaji wa kombati za wapiganaji wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, uteuzi wa mawaziri nje ya Bunge, kauli kuhusu hukumu za wakwepa kodi na utetezi wake kuwa si dikteta. Pia makala hizo zitatathmini maamuzi ambayo yamekuwa yakifanywa na mawaziri wa Serikali ya Awamu ya Tano, katika kuitikia wito wa “hapa kazi tu”.
“Lengo ni kufanya tathmini ya nini kiongozi wetu amefanya katika siku 100 za kwanza na pia kupata maoni ya watu kuhusu yaliyofanyika,” alisema Mhariri Mtendaji wa gazeti la Mwananchi, Frank Sanga.
“Huu ni utaratibu wa kawaida unaofanywa na vyombo vya habari kwa kiongozi wa nchi anapotimiza siku 100. Hivyo tumeona ni muhimu kuendeleza utamaduni huu.” Mhariri wa miradi maalum wa gazeti hili, Hawra Shamte alisema wamejaribu kuangalia kila sehemu muhimu ili kuwapa wasomaji kitu kizuri kitakachowasaidia kutathmini utendaji wa Serikali waliyoichagua.
“Makala zinaangalia karibu kila eneo lililofanyiwa kazi, pia uzuri na ubaya wake na maoni ya watu kuhusu Serikali,” alisema Shamte.
“Nadhani hii itakuwa kumbukumbu nzuri kwa wasomaji wetu ambayo itawasaidia pia kutathmini utawala huu na uliopita na kujua tunakoelekea.”
Alisema makala hizo zimeandikwa kwa kuzingatia hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa Novemba 20, 2015 wakati alipozindua Bunge la Kumi na Moja.
“Hotuba ile ndiyo ilitoa mwelekeo wa Serikali yake na hivyo ndiyo msingi wa makala hizi za uchambuzi,” alisema Shamte.     

Monday, 4 January 2016

Dr Mahanga ampinga Raisi Magufuli kwa hizi hoja zake



Image result for dr mahanga
HOJA SI UKUBWA WA BARAZA, HOJA NI UKUBWA WA GHARAMA ZA KUENDESHA SERIKALI
Nimefuatilia jinsi ambavyo hoja yangu niliyoitoa juzi kwa nia njema ilivyojadiliwa nchini kwa kuungwa mkono na wengi na wengine kuipinga. Mimi nadhani hoja yangu isijadiliwe au kukanushwa kisiasa, bali iangaliwe tu kiuhalisia ili kusaidia Serikali ya Rais Magufuli.
Aidha najua sana kwamba katibu mkuu siyo mjumbe wa baraza la mawaziri. Lakini najua vile vile kwamba jina au cheo tu cha uwaziri si kila kitu kwenye kupunguza gharama za kuendesha serikali. Gharama za kuendesha serikali ni idadi ya mawaziri, makatibu wakuu na wakurugenzi wa idara mbalimbali za serikali, na gharama zingine za kuendesha idara zao.
Na wala sijapinga mazuri anayofanya rais hadi sasa. Mbona pale rais alipofanya vizuri tumempongeza? Kwa mfano kutumbua majipu ambayo yaliivishwa tayari na serikali ya awamu ya nne. Vile vile alipopunguza idadi ya wizara na idadi ya mawaziri kutoka 29 kufikia 19 mbona tulipongeza? Na hapa tuliamini ni mwanzo wa kupunguza ukubwa na gharama za kuendesha serikali. Nasema mwanzo kwa sababu ukubwa na gharama za kuendesha serikali si kupunguza tu idadi ya wizara na mawaziri, bali kupunguza pia idadi ya makatibu wakuu ili kulingana na idadi ya wizara….ni kupunguza na kuunganisha idara mbalimbali za serikali na wakurugenzi wake. Ukifanya hivyo ndiyo unapunguza gharama za kuendesha serikali. Na hii ndiyo ilikuwa ahadi ya Magufuli kwenye kampeni.
Lakini kama ameona kwamba kuleta ufanisi serikalini lazima ajaze watendaji wengi kwenye wizara, kama anavyoendelea kufanya, aseme tu hivyo, lakini akijua hatua hiyo haitapunguza gharama za kuendesha serikali ambazo wabunge, hasa wa upinzani, wamekuwa wakipigia kelele kwenye serikali ya awamu ya nne.
Hata hivyo hili la kuleta ufanisi pamoja na kuteua makatibu wakuu wengi wanaoonekana wazuri kwa utendaji, kuna wizara ambazo hakushauriwa vizuri na akateua makatibu wakuu wale wale na kuwarudisha pale pale wakati walikuwa “mizigo” na walikwamisha mno sekta husika katika awamu ya nne. Hawa ni watu ambao rais au katibu mkuu kiongozi angeenda kwenye wizara zao leo na kuitisha kura ya siri ya wakurugenzi na wafanyakazi wote, asilimia 90 ya watumishi wote wangewakataa makatibu wakuu hao. Ni heri kukosea kuteua kwa mara ya kwanza kuliko kukosea kuteua “mizigo” iliyokuwepo.
Tukirudi kwenye hoja ya msingi ya gharama za kuendesha serikali, nimesema na ninarudia kusema: bila kutakiwa kutoa takwimu hapa, gharama za waziri mmoja na ofisi yake ni ndogo sana kulinganisha na gharama za katibu mkuu mmoja na ofisi yake, kwani waziri tayari analipwa sehemu kubwa ya mshahara na marupurupu kutokana na yeye kuwa mbunge (na hapa niwajuze baadhi ya walionipinga kwamba waziri halipwi mishahara miwili – ya ubunge na ya uwaziri).
Na hapa hatujajadili mikanganyiko mingine ambayo haijawekwa wazi hadi sasa. Kwa mfano kutakuwa na afisa masuhuli mmoja wa wizara au maafisa masuhuli wawili au watatu kwenye baadhi ya wizara? Kwa kawaida wizara inakuwa na fungu (vote) moja; sasa katika hali hii kila idara ya wizara itakuwa na fungu (vote) tatu (ukiacha idara zinazojitegemea)? Je hili la afisa masuhuli mkuu wa wizara kutokuwepo haitaleta shida katika uwajibikaji? Na vipi katika kusimamiwa na bunge na kamati zake? Nani hasa mtendaji mkuu wa wizara atakayewajibika kwa bunge kwa mambo ya kisera ya wizara nzima? Wote watatu?
Hatua hii ya rais magufuli ya kuwa na makatibu wakuu wa vitengo (na siyo wa wizara) ingesubiri hoja ya kikatiba ya mawaziri kutokuwa wanasiasa (wabunge) ili wawe watendaji wakuu na wawajibikaji wakuu wa wizara (cabinet secretaries) kama ilivyo nchi ya jirani ya Kenya.
Lakini kwa sasa ningeshauri hoja hii iahirishwe halafu turudi tena kuijadili baada ya “taasisi” ya makatibu wakuu wapya kupangwa – kwa maana ya kila mmoja kupangiwa idara na wakurugenzi chini yake (na ninahisi kutakuwa na nyongeza ya idara). Na baada ya hapo uchambuzi wa gharama za kuendesha serikali hii ufanywe na ulinganishwe na gharama za uendeshaji wa serikali ya mwisho ya JK ambayo tayari ilikuwa inalalamikiwa kwa ukubwa wake.
Dr. Milton Makongoro Mahanga

Sunday, 3 January 2016

MATOKEO YA EPL HAYA HAPA




Wayne RooneyImage copyrightGetty
Image captionWayne Rooney amefungia Man Utd bao la ushindi
Arsenal wamefungua mwanya wa alama mbili kileleni mwa Ligi Kuu ya Uingereza baada ya kuandikisha ushindi dhidi ya Newcastle, Manchester United nao wakipanda kwa ushindi dhidi ya Swansea City.
Arsenal walilaza Newcastle 1-0, bao lao wakifungiwa na Laurent Koscielny kipindi cha pili, na kufikisha alama 42.
Leicester City wanaowafuata Arsenal walipoteza nafasi ya kujiimarisha baada ya kutoka sare ya 0-0 dhidi ya Bournemouth, licha ya Bournemouth kucheza mwishoni mwa mechi na wachezaji 10 baada ya Simon Francis kuonyeshwa kadi nyekundu kwa kumchezea visivyo mshambuliaji Jamie Vardy.
Riyad Mahrez alishindwa kuwafungia penalti
Uwanjani Old Trafford, ni shangwe kwa meneja Louis van Gaal baada ya vijana wake kuandikisha ushindi wa 2-1, mabao yao mawili wakifungiwa na Anthony Martial na nahodha Wayne Rooney.
ArsenalImage copyrightPA
Image captionArsenal wamo alama mbili mbele ya Leicester
Kwingineko, Southampton walilazwa 1-0 ugenini Norwich City, bao hilo likifungwa baada ya kiungo wa kati wa Southampton kutoka Kenya Victor Wanyama kupewa kadi nyekundu.
Uwanjani Stadium of Light, Sunderland wamelaza Aston Villa 3-1.
Katika mechi ya awali, Liverpool walilazwa 2-0 na West Ham.
Matokeo kamili:
  • West Ham 2-0 Liverpool
  • Arsenal 1 -0 Newcastle
  • Leicester 0-0 Bournemouth
  • Man Utd 2-1 Swansea
  • Norwich 1 -0 Southampton
  • Sunderland 3-1 Aston Villa
  • West Brom 2-1 Stoke