Mkutano wa Barack Obama kufutwa kiutata.

Posted by Unknown on 13:29 with No comments


Image copyrightepa
Image captionRais wa Marekani Barack Obama
Ikulu ya Marekani imesema mkutano kati ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na Rais Barack Obama wa Marekani umefutwa katika mazingira ya utata.
Image copyrightGetty
Image captionWaziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu
Imeelezwa kuwa Netanyahu alitakiwa kukutana na me Rais Obama ndani ya mwezi huu.
Msemaji wa Ikulu ya Rais Obama amesema kuwa wameshtushwa na hatua ya Netanyahu kuamua kukatisha ghafla ziara yake na kwamba taarifa hizo wamezisikia kupitia vyombo vya habari.
Amesema kuwa madai ya kwamba mkutano huo umeshindikana kutoka na kukosekana kwa maandalizi si kweli.
Categories: