Diamond kumtambulisha msanii mpya leo wasafi
Posted by Unknown on 07:44 with No comments
Baada ya label ya WCB kumsaini mkali wa hit single ya Bado ‘Harmonize’ na kuendelea kufanya vizuri kwenye soko la muziki wa Tanzania.
Sasa good news nyingine iliyotolewa na staa Diamond Platnumz ambaye ni msimamizi wa label hiyo alisema kwamba leo March 15 watatangaza msanii mpya waliemsaini katika label yao.
Kupitia kwenye ukurasa wa twitter aliwataarifu mashabiki kwa kuandika..’Panapo Majaaliwa Jumatano Hii Wcb_Wasafi tutamtambulisha rasmi Kijana Mwingine Mpya…tafadhali wadau tunaomba sana Support zenu’>> Diamond
Categories: DID YOU KNOW?, NEWS
0 comments:
Post a Comment